Home
Unlabelled
Taswirazzz za maeneo mbali mbali ya Kariakoo jijini Dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MAJENGO MAREFU MENGI LAKINI HAYANA MVUTO. RANI NI ILE ILE MOJA KWA MAJENGO YOTE ....SISI TULITAKA KUONA NA YALE YANAYOELEA JUU YA MAJI , MENGINE YALIYIJENGWA HEWANI
ReplyDeleteunplanned, park ni barabarani!!!!!!
ReplyDeleteKu park barbarani hata New York City is the same issue... All big cities they face Parking problems... Wabongo tatizo munataka Bongo to develop in a day... Shukuruni mungu hivi vikwangua anga vinaongezeka kwa kasi... With no credit only cash people are building like crazyyy
ReplyDeleteAnkal, kwa juu tumeona vikwangua anga, sasa tunaomba picha nyingine ya chini itakayoonyesha miundo mbinu ya huko kariakoo (yaani, barabara, mabomba ya maji safi na mitaro ya maji taka)
ReplyDeleteEven London Parking is problem. So jamani tunajitahidi kuendelea japo kwa magorofa.
ReplyDelete