Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 49 mpaka sasa

  1. Hapo ni porini,inatoka mlimani inakwenda kukata kona.

    ReplyDelete
  2. Hii ni barabara iendayo Tanga maeneo ya Hale

    ReplyDelete
  3. TABORA:Sheluhi-Tinde

    ReplyDelete
  4. HII NI BARABARA YA BAGAMOYO KWENDA MSATA NA HAPA NI KUTOKA MSATA KABLA HUJAFIKA KIWANGWA

    ReplyDelete
  5. hiyo ni haiweii ya kutoka new york kuelekea washngton mtu asinibishie

    ReplyDelete
  6. HAPO NI KONA YA KUTOKA GUNGU KWENDA KIGOMA MJINI

    ReplyDelete
  7. pIGA Overtake utajua hapo ni wapi?

    ReplyDelete
  8. Hapa ni barabara ya kutoka Charlize kwenda Segera. Maeneo ya Tanga.

    ReplyDelete
  9. Hapa ni msata barabara ya kutoka bagamoyo kwenda msata

    ReplyDelete
  10. Hapa ni Ilula, na hii ni barabara ya kutoka Dar kwenda Zambia.

    ReplyDelete
  11. Babati - Singida

    ReplyDelete
  12. Hapo UBUNGO
    Barabara ya kutoka UBUNGO stesheni kuelekea KARIAKOO

    ReplyDelete
  13. kwa utafiti wa maoni hakuna haliyepata wote wanataja njia za kwenda kwao. NGOJA nikupe jibu hapo uncle ni .................... nitumie buku nikunongonezeeeeeee. kifupi watu hatujui bara2 tunaja kuzipita2.

    ReplyDelete
  14. majibu ya swali hili ni mengi; aliyeleta swali alete alama zaidi ili tubaini lipi ni lipi. Naona kuna nguzo za umeme kushoto huenda zinatoka bwawa la mtera kwenda Dar. Yawezekana pakawa ni njia kati ya chalinze na morogoro!

    ReplyDelete
  15. Hapa ni maeneo ya iringa

    ReplyDelete
  16. Mbeya mjini kuelejea tunduma,mitaa ya Songwe

    ReplyDelete
  17. mheshimiwa michuzi ingekuwa ww umeulizwa swali kama hilo ktk picha kama hiyo ungeweza kujibu??????maana hamna alama yoyote then unauliza swali ambalo halina zawadi kama mtu akishinda.
    Hapo panaweza kuwa popote nchini na nje ya nchi maana mandhari hiyo inapatikana sehemu yoyote duniani.

    ReplyDelete
  18. Wote Mmekosaaa...

    ReplyDelete
  19. hapo ni salenda bridge .. Al-hasani Mwinyi road

    ReplyDelete
  20. blogger tunaomba jibu haraka sielewi barabara nyingi sijasoma uclas mie

    ReplyDelete
  21. Ni swali zuri sana -
    Inaonekana hiki ni kipande cha mojawapo ya barabara zilizojengwa hivi karibuni hapa nchini.....lakini sasa shaka yangu, ikiwa huu ni ukarabati wa kipande kidogo cha barabara mojawapo ya zamani kilichokarabatiwa hivi karibuni swali linakuwa gumu zaidi....nadhani Ankal "tuumpe mji" atatue hiki kitendawili.....mimi sasa nampa mji, "Kanyigo"

    ReplyDelete
  22. Hapo ni Tanzania nchi tajiri kwa kila kitu lakini watu wake maskini na wavivu, bisha!

    ReplyDelete
  23. Msata kwenda Bagamoyo

    ReplyDelete
  24. segera,na ni kuelekea tanga

    ReplyDelete
  25. Hapo ni Tanzania.

    ReplyDelete
  26. Hii ni Barabara ya Singida kwenda Tabora.Hapo ni eneo la Iguguno-Singida

    ReplyDelete
  27. Hii ni Barabara ya kutoka Singida kwenda Tabora. Na hapo ni maeneo ya Iguguno - Singida

    ReplyDelete
  28. Hapa ni barabara ya kwedna bagamoyo kabla ya kufika baobab tree secondary school

    ReplyDelete
  29. Tanga kuelekea horohoro

    ReplyDelete
  30. chalinze segera, after chalinze mzee

    ReplyDelete
  31. Hapo ni mpakani mwa mkoa wa Pwani na Tanga. Na hich kibao pemebeni kinakuaga karibu tena Tanga. Je kuna zawadi? Maana mimi nina uhakika napita sana hapo.

    ReplyDelete
  32. Barabara ya morogoro Dodoma kueleke Gairo. Nipeni mji nimeshinda.,

    ReplyDelete
  33. Jamani hii ni barabara ya kwenda Kigoma maeneo ya kati ya Kazuramimba na Malagarasi wapo Wakorea wanafanya vitu vyao, mbele kuna daraja la malagarasi.

    ReplyDelete
  34. Twila mtumbiApril 29, 2013

    Kutoka mbeya kwenda sumbawanga

    ReplyDelete
  35. kipande cha Tarime Musoma kabla hujafika njia panda ya musoma mwanza.

    ReplyDelete
  36. Barabara ya Dar - Tunduma (TANZAM Highway) karibu na ilipo mitambo ya kusukuma mafuta bomba la mafuta kwenda Zambia na hapo kwenye kona ni eneo pamejengwa Kumbukumbu ya askari wa Kijerumani aliyeuawa na Jeshi la Shujaa Mkwawa na pana josho la kwanza kujengwa na mkoloni Ni kipande cha barabara kati ya Ilula na Iringa Mjini.

    ReplyDelete
  37. kutoka segera kuelekea muheza, Tanga

    ReplyDelete
  38. Mkeka wa kweli ila hapa si tz

    ReplyDelete
  39. ha ha ha hapa ni barabara ya kutoka mlima kitonga kabla ya ipogoro njia panda ya kwenda iringa mjini

    ReplyDelete
  40. HAPO NI BARABARA KUTOKA MBEYA,BAADA YA MLIMA KITONGO KUELEKEA IRINGA.

    ReplyDelete
  41. hii in barabara ya kwenda mtwara .

    ReplyDelete
  42. hii ni barabara ya ulokole kuelekea mbinguni

    ReplyDelete
  43. HII NI BARABARA YA MARANGU HOSPITAL KUELEKEA MOCHUARI YA WANAUME .

    ReplyDelete
  44. HII NI NJIA YA KUTOKA DUNIANI KWENDA AHERA.

    ReplyDelete
  45. Barabara hiyo inatoka inakotoka; inakwenda inakokwenda!

    ReplyDelete
  46. Hii ni baranare inatoka mbeya kwenda tukuyu.

    ReplyDelete
  47. hii ni barabara ya dar es sa laam to zanzibar yenyewe inapita chini ya bahari

    ReplyDelete
  48. Case closed: Barabara hiyo inatoka inakotoka; inakwenda inakokwenda!

    CASE CLOSED!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...