Mkurugenzi Mtendaji wa Sumatra Mr.Kilima (kulia) akimkabidhi “vipima ulevi” Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP. Said Mwema (kushoto) wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP. Said Mwema akimkabidhi “Vipima ulevi” Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania – SACP. Mohammed R. Mpinga, wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania - IGP. Said Mwema akitoa hotuba fupi wakati wa hafla fupi ya makabidhiano “vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Mkurugenzi Mtendaji wa Sumatra Mr.Kilima akisoma hotuba fupi wakati wa hafla fupi ya makabidhiano “vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi na washiriki mbalimbali wakati wa hafla fupi ya makabidhiano “vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu, Tarehe 09/04/2013.
Washiriki mbalimbali wakishuhudia makabidhiano ya “vipima ulevi” wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu.
Mabango elimishi ya Sumatra na la Jeshi la Polisi yaliyoonyeshwa wakati wa hafla fupi ya makabidhiano “vipima ulevi” kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu.
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania (SACP - Mohammed R. Mpinga) na Viongozi mbalimbali wa Sumatra wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla fupi ya makabidhiano hayo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Sumatra yaliyofanyika katika ofisi za Sumatra Makao Makuu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. SUMATRA NDIO INATOA VIFAA KWA JESHI LA POLISI TANZANIA ARE U SERIOUS?

    JESHI LA POLISI LA KULINDA USALAMA LINAHUSIKA NA NINI MPAKA LEO HII HALINA VIFAA VYA KUPIMIA ULEVI KWA MADEREVA?

    TANZANIA YA MWALIMU NYERERE BADOBADO SANA.

    WACHA NIONGEZE KAMA MIAKA 10 MINGINE NDIO NITARUDI HUKO JAMVI BOVU

    ReplyDelete
  2. Bila shaka hivi vipima ulevi sio kwa wanywa pombe tu. Bali pia madereva wavuta bangi na wale wanaotumia madawa ya kulevya watanaswa.

    ReplyDelete
  3. JESHI LA POLISI LIKIAMUA KUWA SERIOUS NA KUSIMAMIA SHERIA HII KIKAMILIFU BASI LITAMBUE KUWA MAPATO YA SERIKALI YATASHUKA SANA KWANI VIWANDA VYA VILEO (TBL NA SBL) NDIVYO VINAVYOONGOZA KWA KUIPATIA SERIKALI KODI KUBWA IKIFUATIWA NA SIGARA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...