Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ndio mazao ya elimu yetu ya kuzarau kiingereza na kukazania kiswahili. Na hawa wanaoandika hivi ndio international celebrities wetu!

    Wakizungumza kila baada ya neno utawasikia "as in..." "as in...." na huko uswahilini wanaonekana ndio wataalam wa lugha hii ya kigeni!

    ReplyDelete
  2. kuacha hayo makosa mengine, mtu unaweza kuwa na 'perfect script with a perfect story'?

    ReplyDelete
  3. Kingereza siyo kila kitu. Kwani wajerumani na wachina wanajua kingereza? Mi ninacoona ni upeo mdogo tu kwani huyu mtu hata angeandika kiswahili ingekuwa vilevile.... Ni mfumo wa Elimu kwani hata mimi nina tabu sana kufanya kazi na wahandisi wageni wanaoajiriwa...Mnaweza kuwa na timu ya watu 10 lakini mnaotambua mnalotakiwa kufanya ni wawili tu na wengine wote wate wanahitaji kuelekezwa kila kitu

    ReplyDelete
  4. The word "BE SURE TO HAVE YOUR APPLICATION FORM" duhhh full kuchemka.

    ReplyDelete
  5. Ha ha hapa ukienda hata hiyo intervew haitakuwa ya nguvu kwa hiyo kushinda ni kama kusukuma mlevi mtoni. Na hizo kazi cjui itakuwa vip maana ni kasheshe 2pu. Heading is Kinondoni hii ni mbele la Kinondoni ama ndio nini.

    ReplyDelete
  6. Aandike tu kiswahili. Si lazima kingereza. Kama mdau aliyepita hapo juu Ukienda kusoma au kutembea ujerumani WANATHAMINI utajifunza Kijerumani, China-Kichina n.k. WANATHAMINI NA KUZITUKUZA LUGHA ZAO.

    ReplyDelete
  7. Ni kweli kiingereza sio kila kitu. Kwani waliambiwa waandikie kiingereza:

    Hii ya kusema wachina na wajerumani, kiingereza sio lugha yao huwa inaniacha hoi. Hatuwezi kulingana nao kwasababu wao wanatumia lugha yao mpaka chuo kikuu. Kwahio kwao Kiingereza sio muhimu.

    Huku kwetu msomi anapimwa kwa kiingereza chake. Hujui kiingereza ni kwasababu shule haijapanda. Waliosoma vizuri wote wanakijua. Ni miaka hii ya karibuni tu kwasababu tumeshindwa kuthamini elimu ndio maana kiingereza nacho kimeshuka.

    Nasisitiza kuwa kama kiingereza hakipandi si angetumia Kiswahili, lugha yetu ya Taifa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...