To read more on this story please click here

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. We dont know what really happened, but I think huyu muheshimiwa has been ill advised to pick a fight here.Dont you think Madonna should be given some preferential treatment instead of standing in a security line like the rest of us?One day you pick a fight with Membe, another day you pick a fight with Madonna, at that rate after ten years you will run out of friends.

    ReplyDelete
  2. I feel so sad for Malawians under leadership of "Mrs Undecided".

    ReplyDelete
  3. Huyu mama Joyce Banda anatafuta kuendelea na Uraisi wa Mpito kwa nguvu za ajabu sana!

    ReplyDelete
  4. Madame Joyce Banda ni kawaida yake kutafuta umaarufu kupitia watu wengine maarufu,

    Tazameni,amesha kwaruzana na Raisi JK kuhusu Mpaka wa Malawi na Tanzania.

    Amesha kwaruzana na Kansela Angel Markel wa Ujerumani kuhusu matumizi mabaya ya fedha za Misaada.

    Amesha buruzana na Raisi wa Umoja wa Ulaya Jose Manuel Barroso kuhusu matumizi mabovu ya fedha za Wahisani kwa safari nyingi za nje zisizo na faida kwa nchi.

    Uraisi wenyewe aliopewa ni wa Mpito, baada ya kifo cha Bingu wa Mutharika huku yeye akiwa Makamu wa Raisi na akiwa hajulikani!

    Anahangaika sana!

    ReplyDelete
  5. Madonna anawapa maisha mazuri watoto wa kimasikini wawili wa Malawi halafu wanamtusi. Usikate mkono unaokulisha.

    ReplyDelete
  6. Huwa sipendi kujudge mambo bila kuyajua kiundani ila kwa mtizamo mfupi tu huyu mama Banda ni ishu, hata kama haya yalitokea si ya ngazi yake si ana wasaidizi wa kujibia? afterall Madonna si size yake sasa ugomvi nae direct wa nn?? mwee

    ReplyDelete
  7. Nyinyi watu ni wa wapi na mnaandika nini, however mnavyomuona huyu mama ni still rais wa malawi na madonna ni nani mpaka apewe preferential treatment kama kitu hamjui nyamazeni, madonna kaongopa kuhusu kutoa complete misaada ya ujenzi wa shule nyingi tu malawi wakati kiukweli ametoa some vifaa tu. Mnavyomuandama huyu mama of course hayupo perfect kama wewe na mimi lakini hao kina baroso na merkel wanatafuta mtu wa kumlaumu kwa makosa yao mengi tu je hajui kama nchi za magharibi zimechacha na mwenye pesa akichacha haachi kuvaa suti na kulaumu mabasi yamejaa kumbe hana hata nauli, so kabla hamjaendele na lawama zetu za kiongozi wa watu jielimisheni kwanza kwani na wakwenu walaumiwa na kuchekwa kwa mengi..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...