Bibi Georgina Mtenga kutoka shirika la UNICEF- Tanzania akiwasilisha mada wakati wa warsha kwa waandishi wa Habari wa Mkoa wa Dodoma kuhusu Uzinduzi wa Mpango Kazi wa Kutokomeza Ukatili kwa Watoto.
Bw.Erasto Chingo'ro Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Maendeleo ya Jamii, (aliyesimam Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Watoto Bw.Benedict Missani na Kulia ni Georgina Mtenga-UNICEF.
Bibi Rose Minja, Mkurugenzi Msaidizi Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto akifafanua jambo wakati wa kikao hicho.
Sehemu ya Wanahabari wakifuatilia uwasilishwaji wa mada wakati wa kikao kazi na wanahabari kuhusu Uzinduzi wa Mpango Kazi wa Kutokomeza Ukatili kwa Watoto.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...