Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 28, 2013

    kipindi ni kizuri sana leo,

    mnaongea kwa kupeana nafasi vizuri.

    akiwepo yule jamaa mwengine cjui anaitwa nani, mweusi hivi ..jamaa anaharibu sana kipindi, anaongea kwa sauti bila mpangilio, yaani vurugu sana..huwa anabore kwa ujumla.

    mnaibua vitu vizruri kwa ktafakari..BIG UP

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2013

    Kesi hata ughaibuni zinacheleweshwa. Hapa UK viza yao wakikutalia inachukua miezi sita kukata rufaa. Tena watatafuta kitu chengine watasingizia ili tu wakukatalie tena utakata tena rufaa itachukua miaka saba hujapata uamuzi. Kila ukikata rufaa unatakiwa ulipe pesa!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 28, 2013

    Yaani kipindi kimepoz kweli yule mpayukaji hayupo, vipi karudishwa watu wampokee kiwalani?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 28, 2013

    NI vizuri mnaongelea haya mambo mkiwa huko, kama mngekuwa hapa tanzania mngemwagiwa tindikali na vibaraka wa hao majaji na pengine hata wazee wa ccm kwani hawapendagi changamoto na nyinyi mtaonekana kero kwao.

    ReplyDelete
  5. Health debate... I hope someone from the TZ government and judicial entity is watching this. Critics always help. There are so many faults in our judiciary system and the need to repair is necessary. All the best guys excellent debate!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 28, 2013

    http://m.youtube.com/#/watch?v=kVojEzkExyU&desktop_uri=%2Fwatch%3Fv%3DkVojEzkExyU.

    Check that out....its everywhere! You cant talk about things you havent done your home...research first.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 28, 2013

    Hongereni sana mmeongea vizuri sana na to the point. Ila mie nawauliza nani leo kawaruhusu mjadiliane hapo bila mwenyeji wenu kuwepo? Namaanisha mwenyewji wenu Ben Mwaipaja mana nahisi hapo ndio nyumbani kwake. jamani si ni kweli! Haya au yupo ndani anawaandalia misosi mkimaliza full kushiba? Ila nyumbani kwake poa sana. Au hajaamka bado?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 28, 2013

    Mjomba Ben,yu wapi eeee , aje hapo muangaike naye!

    Duh leo mjomba hayupo utulivu kibao.
    Mdau hapo kachangia kwa "kimombo" mbona majadiliano ni ya kiswahili? ama amelenga na wazungu nao waelewe mada!

    ReplyDelete
  9. Maongezi yenu mazuri,lakini si mnafahamu kuwa Bongoland ni inchi ambako kumeungua jembe ukabaki mpini,wahusika wanawasikia lakini hawawaelewi,kwani wanajibu moja tu "kila mtu anataka kula" Pia msisahau kuwa katiba ya USA ina zaidi ya miaka 200 na Tanzania kwa miaka 50 yake,mfumo mzima wa sheria ni kama wa kwenye maji;samaki mkubwa humla mdogo” na kila mwaka statistics za rushwa zinaongezeka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...