Ebou Shatry Chief wa Swahilivilla blog, anaawasa watanzania wakubaliane na changamoto. Waache kulalamika "Watu wananizibia riziki". Zaidi anawaomba watanzania wawe kitu kimoja
wapendane na kushirikiana, kama zilivyo jamii za mataifa mengine Ughaibuni.
si kweli kwamba mwenyezimungu anaangalia tunapokwenda na si tulipotoka,hiyo ni sifa ya kibinaadamu.mwenyezimungu si tu kwamba anaangalia tulipotoka,tulipo na tunapokwenda bali pia ana sifa ya kujua,yaliyopita,yaliyopo na yatakayokuwepo. na kama yasiyokuwepo yangekuwepo basi pia anajua hayo yasiyekuwepo jinsi gani yangekuwa.
ReplyDelete