Kiongozi wa Bendi ya Mashujaa,Chaz Baba akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitangaza onyesho maalum la kuiingiza sokoni rasmi kwa albam yao mpya Risasi Kidole,litakalo fanyika siku ya Jumamosi Mei 11,2013 kwenye ukumbi wa Businesss Park,Kijitonyama jijini Dar es Salaam huku wakisindikizwa na ndugu zao FM Academia Wazee wa Ngwasuma.
Kiongizi wa Bendi ya FM Academia Wazee wa Ngwasuma,Presidaa Nyoshi El-Sadaat akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Bendi yake itakavyofanya mambo yao siku hiyo ya Jumamosi Mei 11,2013 kwenye ukumbi wa Businesss Park,Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Wanenguaji viongozi wa Bendi zote mbili wakionyesha namna walivyojiandaa vyema.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...