WILLBARD NA MAI WAIFU WAKE HAPPINESS WAKIFUNGUA CHAMPAGNE


MR & MRS MKOBA

TABASAMU LA NGUVU KWA KUKIMBIA UKAPERA




BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 09, 2013

    Mhhh!!!!sijui kama ni uono finyu wa macho yangu au nipo sahihi!!!hapa sera ya kilimo kwanza naona imetekelezwa ipasavyo........

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 09, 2013

    Bibi Harusi Tumbo limemchooosha! si muwe mnasubiri mnajifungua jamani

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 09, 2013

    Naona kitumbo ndii....Hongereni.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 09, 2013

    Kha! Jamaa hana utani kitu kimeshatinga eenhe.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 09, 2013

    kaka hongera sana!!,hata mualiko!?,

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 09, 2013

    Hongereni sana Mr and Mrs Mkoba.

    Mdau; SPANCO

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 09, 2013

    Hongereni, mmependeza, msiwaonee wivu jamani; mkayafurahie maisha. Hakuna cha kusubiri, linalowezekana leo lisingoje keshoo... Mungu awabariki sana.

    Kwa hali ilivyo sasa wengi wanatamani kufikia hali hiyo lakini wapi wamegonga mwamba, wameenda kwa sangoma bado wameambilia patupu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 09, 2013

    Siku hizi lazima kutest kama kitu kiko sahii pande zote.

    Lakini akina binti wajasiri. Huwa hawajali hata kama ni kilimo kwanza, mazao yanaweza kutelekezwa kwa sabb ya mabadiriko ya tabia kichwa.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 09, 2013

    DUUUUUUUU JAMAA AMEBEEEEP weeeee Halafu Akapiga
    Pao Sana lazima kujaribu Bunduki kwanza

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 09, 2013

    WE KELELE WE ! MTOTO NDANI YA NDOA LOL

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 09, 2013

    naona hapo ilikuwa shake b4 use

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 09, 2013

    kilimo kwanza hiyo ndio sera ya siku hizi ili uone kama mazao yatapakana kwenye ardhi unayotaka wekeza!(mimba kwanza ndoa inafuatia)hongereni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...