Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 21, 2013

    Pona Haraka MADIBA.

    Sasa hao waliolala hapo chini,tafsiri yake nini?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2013

    Asante ANKAL,tunamuombea apone haraka.Ebu ulizia hapo neno TATA lina maana gani?Mambo ya Kibantu.Kuna bahadhi ya makabila hapa TZ TATA=BABA.

    David V

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 21, 2013

    David V.
    Kizulu, TATA ni baba pia km ilivyo kiganda, tata ni baba.

    ReplyDelete
  4. MADIBA pona haraka, twakuombea kwa MOLA,
    Yote unoungulika, upone kila pahala,
    Uweze japo geuka, kitandani lipolala,
    Hatimae kuinuka, uweze kunywa na kula,
    MOLA DUA TUITIKA, MPONYE KWA ZETU SALA.

    Get Well Soon NELSON MANDELA (MADIBA)


    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 22, 2013

    Wanyaturu pia wanasema hivyo tata

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...