Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nzuri sana hapo mama angeacha nywele zake za kiafrika
ReplyDeleteMama piga picha ktk uasili. Hizo nywele noma. Lakini mmependeza , hicho tu.
ReplyDeleteAmani itadumu endapo ufisadi, rushwa na ukandamizaji wa vyombo vya dola utaisha.
ReplyDeleteAMA WEWE kweli bonge la mshamba, wewe umeona nywele tu na hujaangalia ukamilifu wa meseji chanya inayopatikana katika picha hiii!!!!!
ReplyDeletekila mtanzania angependa kuwa na tabasamu na furaha kama inayoonyeshwa kwenye picha, ujumbe mzuri je uhalisia unasemaje?
ReplyDeleteUkiacha meseji maridhawa na namna walivyopoz Mi cjui hao ni akina nani Na issue ya nywele sioni imekaaje kwani si inawezekana ni nywele zake mi cjui mnatakaje!
ReplyDeleteUjumbe umefika.
ReplyDeleteSplitting hairs just for fun.
Tuzungumze juu ya hiyo picha. Kwa ufupi wote wamependeza sana, sijui kama ni maprofeshno ama ni familia huko Ilala.Mpiga picha ni profesheno, ni Michuzi jr nini?
Kuna ujumbe bila ya maneno,kwanza kichwa cha mama kwenye shavu la jamaa yangu,pili mkono wake kwenye bega la kipusa chake.Hivyo vitoto vimependeza sana Hao wanaozungumza nywele, mwanana huyu hata angejitwika pakacha kichwani angeng'aa.Mimi binafsi ningeteremsha picha kidogo kuonyesha pete ya ndoa kwenye mkono wa huyo malaika.
Mungu ibariki Tanzania
amani ni ulinzi na fursa za fisadi na wala rushwa kufanya watakalo.
ReplyDeleteUkileta fyoko watakuuwa kwani unaondoa amani amabyo ni fursa ya kufisidi.
umefika wakati amani iwe msingi wa haki na siyo sababu ya watu kugharamia haki zao.
ReplyDeleteMama zetu wengi, vijana kwa wazee wanavaa mawigi. Tena kila style halafu akimwona mtu na nywele zake za asili anaitwa msomali, mwarabu muhindi sasa mwafrika anaevaa wigi aitwe nani, Maana wengine wigi na mkorogo mpaka anabadilika hujui kama mwafrika.
ReplyDeleteNI KWELI HIZI NYWELE ZIMEHARIBU
ReplyDelete