Waziri wa ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli amekagua ujenzi wa barabara ya Ndundu Somanga yenye kilomita 65 itakayogharimu Shilingi bilioni 58.8 na kuagiza ifikapo Desember 30 mwaka huu mkandarasi wa barabara hiyo asipomaliza kazi afukuzwe na Asipewe kazi nyingine yeyote hapa nchini hata ikiwa ya kufagia.
Home
Unlabelled
Dkt. John Pombe magufuli amwondolea uvivu mkandarasi wa barabara ya Ndundu-Somanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Our President 2015
ReplyDeletehivi magufuli mapombeee nampenda sanaa anaongea ukweli sio siasa kama wabunge wetu wa nyama vyotee hapa nchini
ReplyDeleteBig up Magufuli.
ReplyDeleteTungekua na mawaziri watano kama wewe Tanzania tungekua mbali.
Dr. Magufuli Mungu akulinde milele for una uchungu na nchi yako.
ReplyDeleteunazchosema ginfizz ni sahihi kabisa.Mimi binafsi huyu kiongozi ananifurahisha sana na nampenda zaidi kwa sababu hana ule ujinga wa wanasiasa wengi wanaodhani wanamchi ni wajinga.
ReplyDeleteKwa nini usiwe presider wetu 2015 mh Magufuli ili ushughulikie na watu wengine ndani ya govt?
ReplyDeleteTatizo huyo mkandarasi hakupewa pesa yote imekatwakatwa juu kwa juu unategemea atajenga vipi hiyo barabara.
ReplyDelete