20130710_192100_resized  
Mstahiki meya wa Jiji la Mwanza Mh.Stanslaus Mabula pamoja na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Mh.Jerry Silaa wakipata futari jioni ya jana pamoja na wajumbe wa kamati ya kudumu ya uchumi na huduma za jamii wa Manispaa ya Ilala ndani ya Jiji la Mwanza.
20130710_192048_resized
Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Mh.Stanslaus Mabula (wa tatu kulia) pamoja na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Mh.Jerry Silaa (wa pili kushoto) wakibadiisha mawazo na wajumbe wa kamati ya kudumu ya uchumi na huduma za jamii wa Manispaa ya Ilala ndani ya Jiji la Mwanza wakati wa futari ya pamoja chungu cha kwanza katika mwezi huu mtukufu wa Ramadan.
20130710_192017_resized
Wakinamama nao wakijinafasi upande wao.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 12, 2013

    Pongezi sana Waheshimiwa Wastahiki Mameya Jerry Slaa-ILALA na Stanslaus Mabula-MWANZA kwa kupata Futari pamoja na Wananchi na Wajumbe kwa ujumla.

    Tuneuombea Mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Amiiiiin!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...