Home
Unlabelled
TASWIRAZZZZ MBALI MBALI ZA JIJI LA DAR KUTOKEA ANGANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
DADO SANA HUKO MIMI SIRUDI, YAANI HATA MBU NAWAONA KWA MACHO KATIKA PICHA MSONGAMANO WA MAKAZI SHANTIES, HALAFU JUA KALI KUNAONEKANA, LOOOH.
ReplyDeleteNO WAY WASHIKAJI, NITAKUFA NNA HILI HILI BOX LANGU HAPA MICHIGAN
ni kama new york inavutia kabisa
ReplyDeletekweli kunatofauti kati ya first word na third world, yaani bongo miundo mbinu hakuna kabisa
ReplyDeleteNaona ka Newyork ketu kanajaribu kutembea bila kushikilia,ipo siku mtoto atakuwa tu hata kama ni karne mbili zijazo.
ReplyDeleteJapo itatuchukuwa decades, centuries or even generations, lakini naamini ipo siku tutafikia panapostahili. Kikubwa tuendelee kuidumisha amani, umoja, upendo na mshikamano katika nchi yetu, maendeleo yatapatikana tu taratibu taratibu, Dar ya leo sio ya enzi hizo kimaendeleo. Even "ROME WASN'T BUILT IN A DAY"....
ReplyDeleteJiji lisilo na maji na umeme waswahili tunaridhika na picha
ReplyDeleteduuuh sioni viwanja vya wazi vya kupumzikia(park) ni majengo tu kwa mbele...eeeh mungu baba tuepushe na tsunami maana ikishuka hapa balaa kubwa...hivi kwa nn usianzishwe mji mpya bagamoyo uwe umepangiliwa vizuri na mitaa pia???/nawakilisha.
ReplyDeletemdau wa london.
Hata mbuyu ulianza kama mchicha
ReplyDeleteBongo choka mbaya.
ReplyDeleteAnkal tunaandaa mashtaka juu yako kwani umetudhalilisha kwa kuonyesha "passport" zetu, observe privacy please lol
ReplyDeleteAibu tupu! hii! Nilienda kwenye presentation ya EA ukiangalia miji yaan Dar Nairobi na Kampala wacha Kigali na Bujumbura! Yaani Dar ni mashenzini kabisa! Pendeni mpapende tu lakini hapana mvuo hata kidogo! Yaani Majengo, Siasa, Uchumi, Jamii, (Huduma)pumbaf kabisa! Ni usisadi tu.
ReplyDeletebora ya hii dar kuliko Zanzibar nkwetu na bora ya Unguja kuliko Pemba nkwetu.
ReplyDeleteYaani maisha yalivomagumu hadi miti na majani yamechoka!!
Yaani shamba ulaya basi mwituni kuzuri utafikiri kumejengwa kumbe miti imejiotea tu kuliko kwetu
Aliesema hakuna hata park ZA KUCHEZEA WATOTO na kupumzikia ni kweli kabisa lakini Zanzibar zipo
Ni sawa, ila kumbuka"Mkataa kwao ni Mtumwa"
ReplyDeleteHivi anayehusika na miundo mbinu ni nani?je ameziona hizi picha?utawaachaje watu wajiamulie wajenge wanavyojua wao ikiwa kiongozi mwenye dhamana upo?tena hao hao viongozi ndio kila uchao tunawapokea huku ughaibuni wanapokuja kuosha macho lakini hakuna hatawanalojifunza.Sijui mdudu gani katuingia vichwani kiasi kwamba tunashindwa hata kuiga mifano midogoo isiyogharimu kiasi kikubwa.Hii ni fedheha kubwa,Mpangilio mzuri wa majengo licha ya kupendezesha, unapunguza gharama ambazo zingebidi kutumika kusafisha jiji wanapokuja wanaoheshimiwa sana.
ReplyDeleteWote wanaofagilia nje ni wapuuzi kabisa. Hii ndio aina ya Watanzania tuliona, hamnazo kabisa, wanapenda vinavyoelea hawataki kuunda. Ulaya na Marekani nao walijenga, pia unaangalia how old are they? They are more than 200 years old while we are just 50 years. Haya fieni na mabox yenu hukohuko, maana mkataa kwao ni mtumwa. Nilidhani nyie wenzetu huko mnakusanya ili kuja kuongeza uzuri wa miji yetu huku nyumbani kwakujenga nyumba nzuri.
ReplyDeletemswahili bwana kazi kukandia tuuuu.je umeifanyia inji yakoo.tusiwe na colonised brains.yaani wee acha i miss my bondeni mafurikoni
ReplyDeleteHuyo aliyesema itaendelea na box Michigan namuomba aende DETROIT ambayo ilikuwa ikijulikana kama ni MOTOR CITY ilivyokwisha. Mississippi, Alabama na Luisiana pia kumechoka.
ReplyDeleteHili ni LIKIJIJI na sio JIJI nawapieni!
ReplyDeleteHivu TZ. kuna watu wa mipango miji? wanafanya kazi nini? au kuuza ardhi tu? Ningekuwa raisi ningewanyonga naapa! Shame to you all
MIMI NIKO LONDON BIBI ANAVYOTUANGALIA VIZURI,BONGO TENA HAPANA,HATA MAITI YANGU HAIKANYAGI BONGO.
ReplyDeletekinachosikitisha ni most of this was built after 1980s, na kujidai kote na madigrii yetu lakini ule usemi wa kwenda shule si kuelimika unajidhihirisha hapa.
ReplyDeletejamani hio ni balaa tafadhali anko usiweke tena picha kama hizi,kwani watu wameisha uliza sana huo mji ndio aliokuja Obama anataka wekeza?
ReplyDeleteMAANA MAJIVUNO YALIKUWA MENGI SANA KWA SISITUNAOISHI NJE HASA BAADA YA KUTEMBELEWA NA VIONGOZI MASHUHURI KINA OBAMA ,BUSH, NAWENGINEO NA HIVI KESHO ANAKUJA OPRAH NI AIBU AFADHALI MNGEKUWA MAMBO MENGINE MNAFICHA FICHA
JAMA BADO SANA HATA SEHEMU YA MICHEZO YA WATOTO HAKUNA, WAZEE SIJUI WANAKUTANA WAPI,MOTO UKITOKEA SIJUI ZIMA MOTO HUWA ZINAPITA WAPI. WEE ACHA TU
Duh utafikiri india, yaani zanzibar ina muonekano mzuri wa juu, park za kumwaga zenji, pemba ndo usiseme imetulia.
ReplyDeleteBongo vumbi tupu yaani ikikupita bodaboda unasimama kwanza kwa vumbi, maji hakuna umeme wa kubahatisha, ukiacha hilo miundo mbinu ya barabara katika mitaa hakuna,kama zipo vumbi tupi, haya Drainage ndio hakuna kabisaa, maji machafu ovyo ovyo kuchimba mashimo ovyoo majumbani harufu mtindo mmoja na mbu.
Katika sehemu iliyotulia kwa ujenzi mzuri ni TANGA mpaka sasa.
Serikali wao rushwa tu,Wangelianza utaratibu kununua maeneo na kuvunja na kujenga makaazi ya kisasa, na wale wanaovunjiwa wapewe nyumba humo humo na nyengine ziuzwe au wananchi wapewe ili kuepusha ujenzi wa holela holela.
Utaratibuu huu kama ungeanza zamani tungelikuwa mbali sana, lakini hatujachelewa wapeni mabenki tenda wauzieni maeneo ambayo wananchi wamejenga holela bila ya mpangiliao.
Tusiwe watu wenye kukandia home tu, haisaidii kitu kama hamjatoa mungozo ili tuweze kufika kama dubai.
Mdau Shickland
Yaani I am so glad umeweka hizi picha kwa kweli hilo jiji lenu linatia aibu kwa kweli!!!
ReplyDeleteMarch nilikuja na Swiss Air tukapita Nairobi usiku kama saa moja hivi; taa zinawaka yaani mji unaona nyumba zilivyojipanga na barabara zimenyooka!!! Airport Mandege kama kumi hivi ya Kenya Airways!! Na pia kulikuwa na ndege za nchi nyingine. Mataa yanawaka mwanga mkubwa Airport, Basi wazungu wooote wakashuka Kenya!
Si tukafika Dar kitu cha kwanza nikaangalia chini, jamani giizaaa zitooo!!!! I was so so ashamed of my country. ?Very ashamed!!!! Then tukatangaziwa kwamba inabidi tushuke kwa ngazi!! Maana vile vya kutokea kwenye ndege vimeharibika!!! Then tukashuka tukakutana na staff wa hapo wamechooka wameshikilia vibatali!!! Uwanja umechoka!!
Then saa ya kurudi ikawa the same story tumetoka Dar ndege tupu imeenda kujaa Nairobi! Halafu wakapandisha mashehena ya mizigo sijui maua na nini!! Chakula chote tulichokula kilitoka Kenya???? Honestly what do Kenya's have that we dont have?? Kweli watanzania tunabaki nyuma namna hii. Mbona mimi huku nje nafanya nao kazi tena mimi ni boss wao pamoja na ujanja wao wote??
Uncle please jamani nyie mnaongozana na viongozi hebu waambie wajenge nyumba za kueleweka na mahoteli hapo karibu na airport pia waweke taa za barabarani na wautengeneze huo uwanja please jamani aibu!!!
mama Hamis enheeee naomba unletee taulo langu naona limepeperushwa na upepo kwenye mlango hapa bafuni!!!!.
ReplyDelete..halafu michuzi tabia ya kunchungulia nkiwa nakoga ukiwa angani chi njuli mwana wewe!!
mdau
texas
Acheni kutuzingua huko majuu kazi mnazozifanya tunazijua ni za kujidhalilisha. Bora sie tupo kweli. Mkataa kwao ...............
ReplyDeleteMtu hadhaliliki kwa kazi afanyayo bali kipato apatacho. Ni umbumbu wa hali ya juu kudhalilisha kazi ya mtu mwingine regardless of where they located. Wabongo mmezidi majungu na wivu usio na maana. Kama mtu anabeba mabox au kuzibuwa vyoo na amelidhika na kazi yake, wewe inakuuma nini!!???
ReplyDelete