Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. We wacha tuu hii ni mboga ya jadi
    toka ma-babu na babu zetu hapo pamebakia ndimu au marimao,pilipili na mboga za majani kwa ugali wa dona unapata protein zote kwa mpigo mmoja.
    Waulize Marknigga wa australia na mbunge Shaba mayor wa nobrovaest- udengani watakupa jina la asili ya mnyama wamewawinda wakiwa mtwara.
    Mikidadi-Denmark

    ReplyDelete
  2. Kuishi kwingi ....

    ReplyDelete
  3. hii ni nini?

    ReplyDelete
  4. Mh kinyaaa!!!!!!!!!!Panya analiwa jamani.................!

    ReplyDelete
  5. Acha hizo hao wako senegal siyo Ntwala japo nasi twala kiasi.

    ReplyDelete
  6. Samaki nchanga oyee!! Nenda China ukashangae. Hakuna kitembeacho ama kipumuacho kando ya Binadamu ambacho ni haramu!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...