Balozi wa China nchini Tanzania, Dk. Lu Youqing (kushoto), akikata utepe kuzindua huduma mpya ya kifedha kwa kutumia fedha ya China (Yuan) ya Benki ya NBC jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa benki hiyo, Mizinga Melu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo jijini Dar es Salaam.
Meneja Mkuu Kitengo cha Uhusiano cha NBC, William Kallaghe (kushoto) akiwa na baadhi ya maofisa wenzake katika hafla ya uzinduzi wa huduma za kifedha za NBC kwa kutumia fedha ya kichina. Mgeni rasmi
alikuwa Balozi wa China nchini, Dk. Yu Youqing.
Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Maharage Chande (kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja cha benki hiyo, Jane Dogani (kushoto), wakifurahia wakati mmoja wa wateja wao, Amin Juma (katikati) akijibiwa swali alilouliza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja cha Benki ya NBC, Jane Dogani akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya Hotline Service inayomwezesha mteja wa NBC kuuliza maswali yake moja kwa moja kwa ofisa wa benki hiyo awapo ndani ya tawi la benki.
Meneja Mahusiano wa NBC Tanzania, Eddie Mhina akiongoza shughuli za uzinduzi wa huduma ya Hotline Service ya Benki ya NBC katika Tawi la Corporate jijini Dar es Salaam. Huduma hiyo pia kwa sasa inaweza kupatikana katikan matawi ya……
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...