YECHU! YECHU! YECHU!


HII HAILIPIWI HATA KUMI ARIFU 
YAANI KIINGILIO NDO KITU HAMNAGA

Pale Pale fasi ya K-JUU mwisho wa daladala mkabala na kwa kina Elia Huu na fundi Seremala.....
Graffiti kwenye kila pande ya Ukuta,Dj kwa fasi,Freestyle battle na Mamistari ya Hatari Hatari!
Jivunie kuwa Arusha,Jivunie Kuwa HipHop!!



ACHA USORO IBUKA CHALIANGU! 
MSHTUE NA BEIBE MTIMBE KIJENGE YA JUU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hilo jina SUA sio pahala pake hapo kwa kuwa tayari kuna chuo kikuu nchini kinaitwa SUA.

    ReplyDelete
  2. hakuna chuo kinaitwa sua bali ni "acronym" ya Sokoine University of agriculture hivyo hao hawajafanya kosa lolote kutumia "acronym" hii ya jina lao.

    ReplyDelete
  3. Chalii kwweli nasema maneno hata mimi Morani naelewa nitakuja na mama yeyoo na musiki nitaingia !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...