YECHU! YECHU! YECHU!
HII HAILIPIWI HATA KUMI ARIFU
YAANI KIINGILIO NDO KITU HAMNAGA
Pale Pale fasi ya K-JUU mwisho wa daladala mkabala na kwa kina Elia Huu na fundi Seremala.....
Graffiti kwenye kila pande ya Ukuta,Dj kwa fasi,Freestyle battle na Mamistari ya Hatari Hatari!
Jivunie kuwa Arusha,Jivunie Kuwa HipHop!!
ACHA USORO IBUKA CHALIANGU!
MSHTUE NA BEIBE MTIMBE KIJENGE YA JUU
Hilo jina SUA sio pahala pake hapo kwa kuwa tayari kuna chuo kikuu nchini kinaitwa SUA.
ReplyDeletehakuna chuo kinaitwa sua bali ni "acronym" ya Sokoine University of agriculture hivyo hao hawajafanya kosa lolote kutumia "acronym" hii ya jina lao.
ReplyDeleteChalii kwweli nasema maneno hata mimi Morani naelewa nitakuja na mama yeyoo na musiki nitaingia !!!
ReplyDelete