Ndugu mtanzania uliopo ndani na nje ya Tanzania, tunawaletea mkombozi wa elimu kupitia www.natafutashule.com website ambayo inashughulika na masuala ya elimu ndani ya Tanzania, Afrika mashariki na kila pembe ya dunia kwa ujumla.

Katika website hii unaweza kupata:

1. Habari zote zinazohusu elimu shule, vyuo na taarifa mbalimbali
2. Walimu kuweza kujipatia kazi baada ya kupost CV zao
3. Wenye shule ama vyuo kutafuta walimu
4. Wazazi kupata taarifa mbalimba za shule na vyuo vikuu
5. Jinsi ya kusoma nje ya nchi (Distance learning).
5. Kuuza ama kununua kitu chochote kinachohusiana na elimu
6. Kuweka kero yako yoyote inavyohusu elimu
7. Kupata Matukio makubwa ya elimu
8. Kujadili masuala mbalimbali ya elimu katika forum
9. Wamiliki wa vyuo na shule kuweka taarifa za vyuo na shule zao bure

Ukiwa kama mdau wa elimu popote ulipo unahitaji taarifa fungua tovuti hiyo au kama unataarifa zozote unataka ziwafikie wazazi, wananfunzi, wamiliki wa vyuo na shule basi tutumie kwenye email admin@natafutashule.com nasi tutaziweka kwenye tovuti yetu www.natafutashule.com BUREE kabisa.

Karibu tujadiliane ELIMU kupitia www.natafutashule.com.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Vizuri sana...ninapata tumaini.
    Unakaribishwa pia kunitembelea kupitia:
    tzandusfashion.blogspot.com
    dailylifeandliving.blogspot.com

    ReplyDelete
  2. Kuna spell check kwenye website yenu ni Education sio Educations

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...