Mchezaji na Kepteni wa zamani wa Timu ya Taifa Stars, Jella Mtagwa (kushoto) akipokea cheti cha nyumba aliyokabidhiwa na SHIWATA na eneo la robo ekari ambalo anatarajia kujenga nyumba kubwa
Mwanachama huyu wa SHIWATA kulia ameamua kujijengea nyumba yake pole pole hapa akikabidhiwa cheti chake
Mkuu wa wilaya mstaafu, Bw. Henry Clemence akizungumza katika sherehe ya kukabidhi nyumba 38 za wasanii wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) katika kijiji cha Mwanzega, Mkuanga.
Kwa kweli sasa watanzania tumepiga hatua kwa msaada wa nyumba alopewa uncle Jella Mtagwa hivi kweli mtu alietowa mchango mkubwa kwa Taifa ndio fadhila yetu kumpa nyumba kama hii katika karne hii?
ReplyDeleteMimi nilifikiri Jella Mtwaga wanamtoa kwenye nyumba ya mbavu za mbwa nd kumpa nyumba ya kisasa, this is bad, eti atajenga nyumba ya kisasa, kwa mtaji gani?
ReplyDeleteDuh, kwa hilo la nyumba ya Mtagwa linahitaji maelezo la itakuwa ni fedheha.
ReplyDeleteEti atajenga? ingekuwa busara kama ndio hayo msingepiga picha ili mfiche hayo madudu.