Chifu wa Wasukuma Wilaya ya Kwimba Shimbi Martin Morgan akimabidhi silaha za jadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa sherehe za kumtawaza kuwa Mtemi wa Sungusungu Kitaifa, zilizofanyika kijiji Ngudu, Wilayani Kwimba Mkoa wa Mwanza. 
Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kweli dunia inabadilika, nimependa kwamba chifu wa wasukuma tena Kwimba anaitwa 'Morgan'

    ReplyDelete
  2. very interesting!!

    ReplyDelete
  3. Chifu anaitwa "Morgan"?

    ReplyDelete
  4. Kofia nyekundu ya tarabushi asili yake ni mashariki ya kati - misri mpaka uturuki walikuwa wanazivaa sana (fashion) katika miaka ya arobaini na kuendelea.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...