Rais Dkt Jakaya Kikwete akitembea kwa miguu kutoka hotelini kwake kuja kwenye Ubalozi wa Tanzania Marekani siku ya Jumatano Sept 18, 2013 na kukutana na Mabaozi wa Heshima ambao jana Jumatano wasaini mikataba ya kuwa rasmi Mabalozi wa heshima wataofanyakazi za kuitangaza Tanzania nchini Marekani kwa ajili ya uwekezaji,  Utalii na mambo mengine yatakayosaidia kuinua uchumi wa Tanzania.
Rais Dkat Jakaya Kikwete akisalimiana na Maafisa Ubalozi wakiwemo wafanyakazi mara tu alipoingia Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo barabra ya 22, Washington, DC
Rais Dkt Jakaya Kikwete akitia saidi kitabu cha wageni Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani.
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha wageni huku Mhe. Waziri Bernard Membe na Mhe. Balozi Liberata Mulamula wakishuhudia.
 
Raus Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Mama William alipokua akiingia chumba cha mikutano cha Nyerere

Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na mmoja wa Mabalozi wa Heshima

Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi wa Heshima Hon. Kjell Bergh kutoka Minnesota

Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi wa Heshima Hon Ahmed Issa kutoka California

Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Balozi wa Heshima Hon. Robert Samuel Shumake kutoka Michigan.

Rais Dkt Jakaya Kikwete akiongea machache kuwashukuru Mabalozi wa Heshima kwa kukubali kwao kuitangaza Tanzania nchini Marekani na kusema sio kazi rahisi lakini ana Imani nao na aliwatakia kila la kheri ya kuwa na nia thabiti ya kuitangaza Tanzania nchini Marekani.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akipokea zawadi ya saa kutoka kwa Balozi wa Heshima Hon. Robert Samuel Shumake kutoka Michigan. Kulia ni balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula.
Picha kwa hisani ya Vijimambo Blog

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. mheshiwa rais tunakuomba uje na silaha kali za kimarekani kwa ajiri ya kuwanyamazisha rwanda na malawi

    ReplyDelete
  2. Maneno hayo mmmmmmh!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...