Aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu,Bw. Peniel Lyimo (kushoto) akimtambulisha rasmi Katibu Mkuu mpya wa Ofisi ya Waziri Mkuu,Bw. Florence Turuka alipowasili rasmi Ofisini kwake jana tarehe 10 Septemba, 2013.
Katibu Mkuu mpya wa Ofisi ya Waziri Mkuu,Bw. Florence Turuka (aliesimama) akizungumza na Wakurugenzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu (hawapo pichani) baada ya kuwasili rasmi katika Ofisi hiyo jana tarehe 10 Septemba, 2013.

Baadhi ya Wakurugenzi katika Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza kwa Makini Katibu Mkuu Bw. Florence Turuka (hayupo pichani) alipowasili rasmi kuanza kazi katika Ofisi tarehe 10 Septemba,2013 Asubuhi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...