Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Sixtus Mapunda, leo amekutana na wazee waasisi wa Jumuia hiyo, Ofisini kwake, Makao Makuu ya UVCCM, Barabara ya Morogoro, jijini Dar es Salaam. na kuwa na mazungumzo ya kina na waasisi hao.Pichani, Mapundfa (kushoto) akiwasikiliza waasisi hao. Wapili kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM, Mfaume Ally Kizigo. (Picha na Bashir Nkoromo).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Katibu Mkuu umeanza vizuri kazi zako kuwahusisha wazee waasisi katika vikao vya mara kwa mara ni muhimu saana mchanganyiko wa mawazo ya wazee waasisi wa Zamani na mawazo ya vijana wa kizazi kipya kutatufikisha katika malengo,
    unatakiwa pia kuzunguruka mikoa na wilayani-vijijini kuwasikiliza wazee na kuwapata misaada kufuataana maombi ya mhs Nauye ccm kuwasaidia wazee wametoa mchango mkubwa wa kujenga ccm na taifa.
    mikidadi-denmark

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...