Kamera ya Globu ya Jamii,Mchana wa leo iliinasa taswira hii ya Foleni kali katika eneo la Kiluvya,Mkoani Pwani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nafikiri ilisababishwa na ukaguzi wa SUMATRA NA JESHI LA POLISI. Walikuwa wanafanya ukaguzi pale kwani niliwaona kamanda Mpinga, Mzee Kilima wa sumatra, Rto wa Pwani na maafisa wa sumatra kibao.

    ReplyDelete
  2. watu wanaenda wapi jamani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...