1Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya sabasaba mjini Bariadi leo katika ziara yake ya mwisho kwenye wilaya hiyo mkoani Mkoani Simiyu ambapo kesho atamalizia katika jimbo la Busega na kwenda moja kwa moja mkoani Mara tayari kwa kuanza ziara nyingine ya siku sita mkoani humo.2Nape nnauye katibu wa NEC Itikadi, Siasa na uenezi akiwahutubia wananchi wa Bariadi katika mkutano huo uliofanyika mjini Bariadi leo. 3Nape nnauye katibu wa NEC Itikadi, Siasa na uenezi wa pili kutoka kulia akifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana hayupo pichani wakati alipokuwa akiwahutubia wananchi katika viwanja vya Sabasaba mjini Bariadi leo, kulia ni Dk Titus Kamani Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu na kutoka kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Bariadi Erasto Sima na Pasacl Mabiti Mkuu wa mkoa wa Simiyu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...