Leo Siku ya kuzaliwa mwanamuziki Kamanda Ras Makunja,kiongozi wa Ngoma Africa band a.k.a FFU yenye maskani kule Ujerumani.
Siku kama ya leo 19.September wazazi wawili Bi.Moza Hassan Mpili (Mama) na Mumewe marehemu Bw.Jumanne Saleh Makunja(Baba) walijaaliwa kupata mtoto wao Ebrahim Jumanne Makunja a.k.a Kamanda Ras Makunja wa FFU.
Tunamtakia kila la heri Kamanda Ras Makunja katika siku yake ya kuzaliwa. Happy Birthday To You Kamanda Ras Makunja
Pata burudani at   www.ngoma-africa.com 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. UNCLE KICHWA CHA HABARI KIMEKAA SAWA? AU MACHO YANGU TU? HAHA

    ReplyDelete
  2. mkulu wa kazi hongera mungu akuzidishie afya

    ReplyDelete
  3. Kikamanda ketu ras makunja mkuu wa kikosi ffu aka watoto wa mbwa happy birthday

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...