Rais Dkt Jakaya Kiwete akiingia Ritz Calton Hotel wakati alipowasili Washington, DC kwa kuendelea na ziara yake ya nchini Marekani aliyoanzia kwenye miji ya San Francisco na Vallejo, California.
Rais Dkt Jakaya Kiwete akisalimiana na Mwambata mpya wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada Kanali Adolph Mutta ambaye anachukua nafasi ya Brigedia Jenarali Emamanuel Maganga ambaye amemaliza muda wake.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisalimiana na Afisa Ubalozi Emmanuel Swere kwenye hotel ya Ritz Calton wakati alipowasili Washington, DC.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...