Home
Unlabelled
maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka jijini dar es salaam kama inavyoonekana leo septemba 14, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal umesahau kutuwekea ile ngoma ya Balisidya.
ReplyDeleteuchafu michu tusipowafundisha wabongo kutunza mazingira ni kiama
ReplyDeleteHongera mnyambala! Kazi nzuri, ninaamini hata wanaobeba mabox ko kote duniani wanaanza kutamani kurudi nyumbani. Hebu tukubali, Bongo inabadilika, inakwenda na wakati jamani looh!
ReplyDeleteBongo inabadilika, lakini tatizo la tindikali na bastola za bodaboda linaendelea kufanya uamuzi wa kurudi nyumbani kuwa mgumu.
ReplyDeleteDuh kama Namibia!hahahahahaha hahahahaha
ReplyDeleteBarabara safi lakin wazziri husika bado una kazi maana standard yake hakuna vivuko waenda kwa miguu hamjawafikiria bodaboda nao kero jingine. Tenga sehemu hizo zote kupunguza ajali mungu saidia waja wako
ReplyDeletehii barabara ya mwendo kasi sasa mbona raia wanavuka barabarani hamuoni kama hiyo ni hatari??? au ndo tuwalaumu kwa kuwa washaambiwa wasivuke? mi naona ni vyema barabara ikazibwa njia zote za miguu na raia wawekewe sehemu za kuvukia
ReplyDelete