Bibi Silvana Nhungwe akivuna zabibu katika shamba la Mheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda lililopo eneo la Zuzu mjini Dodoma Septemba 11, 2013.

Watu wakivuna zabibu kwenye Shamba la Mheshimiwa Waziri Mkuu, Mizengo PInda lililopo Zuzu mjini Dodoma Septemba 11, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ama kweli ni motto wa mkulima!

    ReplyDelete
  2. hivi ndivyo inavyotakiwa , sio kuiba mali za serikali na kuchukua rushwa. Ikiwa pato la serikali halikutoshi basi hakuna ubaya kutafuta riziki kwa njia za halali kama MP anavyofanya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...