Afisa uhusiano wa Airtel bi Jane Matinde Akikabithi
viatu vya kuchezea mpira kwa wachezaji watakaoshiriki miachuano ya Airtel
Rising stars nchini Nigeria itakayoanza jumatatu wiki ijayo na kushirikisha
nchi 17 barani Afrika, wakipokea vifaa hivyo ni makaptani wa timu
hizo Athanas Mdam na Stumai Athumani. wa pili kushoto ni kocha wa
timu ya wavulana ya Airtel Rising Stars Abel Mtweve
Afisa uhusiano wa Airtel bi Jane Matinde Akikabithi
viatu vya kuchezea mpira kamptaini wa timu ya kike Stumai Athumani
wakati Airtel ilipogawa vifaa kwa timu itakayosafiri kwenda kwenye michuano ya
Airtel Rising stars Nchini Nigeria, Michauno hiyo itashirikisha nchi 17 barani
Afrika, wakishuhudia ni kikosi cha timu ya Airtel Rising stars Tanzania
Baadhi ya wachezaji watakaoshiriki miachuano
ya Airtel Rising stars nchini Nigeria wakijaribu viatu mara baada ya
kukabithiwa vifaa vya michezo na Airtel kwaajili ya miachuano ya Airtel
Rising stars nchini Nigeria itakayoanza jumatatu wiki ijayo na kushirikisha
nchi 17 barani Afrika

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...