Matukio ya picha baada waandishi na maafisa wabunge walivyonusurika katika ajali iliyotokea mjini Karatu leo.
Maafisa wa Bunge na waandishi walikuwa katika msafara wa Wabunge toka nchi za Sadc waliokua wanaelekea Ngorongoro. Hakuna aliyepoteza maisha wakati wanahabari na maofisa wa Bunge kadhaa walipata majeraha
Wanahabari, maafiosa wa Bunge na wasamaria wema wakiokoa majeruhi kutoka garini
Mpiga picha wa mwananchi Edwin Mjwahuzi (mwenye kamera) akiangalia namna anavyopatiwa huduma ya kwanza mmoja wa wahanga wa ajali hiyo.
Dereva wa gari hilo akiwa amepoteza fahamu
Gari lilivyopinduka
Afisa Habari wabunge Owen Mwandumbya akiwa amepumzishwa ili apate hewa kidogo baada ya ajali
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...