Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.
Celina O. Kombani (Mb) akizungumza katika hafla fupi na wanamichezo
watakaiyoiwakilisha Utumishi katika mashindano ya SHIMIWI mwaka huu mapema.
Naibu Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.
HAB Mkwizu akiwapa mbinu za kimichezo wanamichezo watakaoiwakilisha
Utumishi katika mashindano ya SHIMIWI mwaka huu wakati wa hafla fupi ya
kuwaaga mapema leo.
Baadhi ya wanamichezo wa Utumishi na viongozi wao wakimsikiliza
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O.
Kombani (Mb) wakati hafla fupi ya kuwaaga mapema leo.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.
Celina O. Kombani (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na timu ya Utumishi
itakayoshiriki michezo ya SHIMIWI mwaka huu mara baada ya hafla fupi
kuwaaga mapema leo ofisini kwake.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...