Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Mhe.Stephen Wasira akikagua majengo ya shule ya sekondari ya Chienjere alipokuwa akikagua miradi ya Tasaf kwa mkoa wa Mtwara na Lindi
Jengo la Utawala la Shule ya Sekondari ya Kata ya Chienjere wilayani Ruangwa lililojengwa kupitia mfuko wa TASAF
Jengo la kiwanda kidogo cha Akina mama wa kata ya Mbekenyera waliojiunganisha pamoja katika kikundi cha Azimio na kuanza kubangua korosho kwa mashine za mikono
Wanakikundi wa Azimio-Mbekenyera walipotembelewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Mhe.Stephen Wasira katika Jengo ambalo wamepata kupitia mfuko wa Tasaf
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Mhe.Stephen Wasira akihutubia wananchi wa Mbekenyera
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...