Beki wa Azam FC, David Mwantika (kulia), akichuana na mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 2-1.
 Mshambuliaji wa Simba, Betram Mwombeki akiwatoka mabeki wa Azam FC.
 Ramadhani Singano (kushoto), akimtoka David Mwantika.
 Wachezaji wa timu ya Azam wakishangilia bao la pili la timu yao baada ya kuifunga Simba 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyikakwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 2-1. 
 Mashabiki wa Simba wakiwa wameduwaa huku wakifuatilia mchezo kati ya Simba na Azam FC.
 Kipa wa Azam FC, Mwadin Ali akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Sino Augustino.
Mshambuliaji wa Simba, Edward Christopher (kulia), akiwania mpira na wachezaji wa Azam FC, Kipre Tchetche na David Mwantika. (Picha na Francis Dande)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hahahahahahaha

    ReplyDelete
  2. mzee mbona ile ya simba na yanga hatujaiona kwenye blog yako? ila hii ipo kwa herufi kubwa na bold? thanks for the shots anyway.
    keep it up thogh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...