Mkurugenzi wa ICT- TPA Ndg. Phares Magesa akiwa na CEO- Ghana Ports and Harbours Authority(GPHA) Richard Anamoo kulia, CEO wa GPHA ametembelea Bandari ya Dar leo..!!! Ufanisi katika Bandari ya Dar umeongezeka sana na wateja wengi wameelezea kuridhika na huduma za TPA sehemu kubwa ya ufanisi huo imechangiwa na uwekezaji na utumiaji mzuri wa mifumo ya TEHAMA..!!!
Home
Unlabelled
CEO wa Ghana Ports Authority(GPHA) atembelea TPA leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...