Mwakilishi wa Voda Com mikoa ya
nyanda za juu kusini kati na mjumbe wa bodi ya wakurugenzi wa
jukwaa la wahariri nchini Tanzania
Masoud Sanani (kushoto) wakikabidhi msaada wa chakula na vitu mbali
mbali kwa mkuu wa kituo cha yatima cha Huruma Center mjini Iringa
Bi Costansia Chilewa ,msaada uliotolewa jukwaaa la wahariri kwa
ufadhili wa Voda Com Tanzania
Mwakilishi wa Voda Com akimkabidhi
msaada mkuu wa kituo cha yatima cha Huruma Center huku mwakilishi wa
jukwaa la wahariri Bw Masoud Sanani akishuhudia
Baadhi ya wahariri nchini Tanzania na wafanyakazi wa Voda Com wakiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto yatima wa kituo cha
Huruma Center Iringa baada ya kuwakabidhi misaada mbali mbali
iliyotolewa na jukwaa la wahariri kwa ufadhili wa Vodacom Tanzania.
Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...