Katika kuhakikisha wigo wa Globu ya Jamii unaendelea kuwa mpana siku hadi siku,sasa hivi libeneke lako pendwa limefungua Ukurasa wake ndani ya Mtandano wa Kijamii wa Facebook,ambapo kwa wewe Mdau mpya ndani ya Mtandao huo utafika kwenye Ukurasa wetu na kubofya neno LIKE ili uweze kuungana nasi na utaendelea kupata mambo mbali mbali yanayoendelea kwenye Globu yako pendwa ya jamii.
Home
Unlabelled
Libeneke la Globu ya Jamii sasa linapatikana pia ndani ya Mtandao wa Facebook
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...