Viongozi wa UWT wakimsikiliza daktari hayupo pichani akitoa maelezo mafupi ya hali ya Hospitali ya Wilaya ya Mkuranga,wakati wajumbe hao walipotembelea hospitali hiyo ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya UWT mkoani Pwani. Wa kwanza Kushoto ni Bi Sauda Mpambalioto katibu wa CCM Mkoa wa Pwani, Bi Mwansiti Omari Mwenyekiti wa UWT (K), wa tatu ni Bi Zainabu Vulu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, na wanne ni Bi Cheusi diwani wa viti Maalum kata ya Mkuranga.
Daktari wa Hospitali ya Wilaya ya Mkuranga akitoa maelezo mafupi kwa viongozi wa UWT na wanachama wa CCM mkoa wa Pwani katika maadhimisho ya Wiki ya UWT Mkoa wa Pwani (2013) yaliyofanyika Wilaya ya Mkuranga kwa kutembelea wagonjwa na kuwafariji.
viongozi wa UWT wakimsikiliza Daktari wa Hospitali ya Wilaya ya Mkuranga hayupo pichani.waliopo pichani wa kwanza kulia ni Bi. Mwansiti Omari mwenyekiti UWT(k), wa pili ni Bi. Sharifa Nabaraganya Afisa ustawi wa jamii Mkuranga, wa watatu ni Mwenyekiti wa UWT Mkuranga Bi Fatuma Shari na wa nne ni Mbunge wa viti maalum mkoa wa Pwani Bi Subira Mgalu na wa mwisho ni Bi Zainabu Vulu Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Pwani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...