Mwanafunzi wa Green Acres,Nicodemas Pallangyo akiwakilisha mada yake inayohusiana na Kodi ya malipo ya mwekezaji,wakati wa sherehe za mashindano ya kodi yalioshirikisha shule za Sekondari Mkoa wa Dar es salaam,lengo la sherehe hiyo ni kukuza ufahamu kwa wanafunzi katika masuala yanayohusu kodi mbalimbali zinazosimamiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania.
Wanafunzi kutoka shule za sekondari mbalimbali pamoja na walimu wa shule hizo wakifuatilia kwa umakini mada iliyokuwa ilikuwa ikiendelea kwenye sherehe hiyo,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa 29-Octoba 2013jijini Dar es salaa, zilizofunguliwa na Naibu Kamishna Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA,Bw Rished Bade.
SAFI SANA... GOOD JOB TRA
ReplyDelete