DSC02416
Miss Ilala 2013 Dorice Mollel akibadilishana mawazo na wanafunzi wa Chuo cha Uhazili, Msimbazi centre jijini baada ya Miss huyo kuamua kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupambana na umaskini duniani (International Day for the eradication of poverty) kama sehemu ya kazi za kujitolea kwa kufundisha jamii na hasa wasichana mambo ya ujasiriamali na stadi za maisha.DSC02422
Miss Ilala 2013 Dorice Mollel akizungumza na wanafunzi wa chuo cha Uhazili, Msimbazi centre jijini Dar es Salaam alipotembelea kituo hicho jana na kupata nafasi ya kubadilishana nao mawazo juu ya kupambana na kupunguza umaskini katika jamii zao katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupambana na umaskini duniani (International Day for the Eradication of Poverty).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Swala la kupunguza umasikini kuanzia kwenye jamii zetu ni wajibu wa kila mmoja wetu.

    ReplyDelete
  2. wadada wamesuka wamemependeza kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...