Familia ya Marehemu Joseph B. Msoka wa Ukonga Kichangani Dar-es-
salaam, inapenda kutoa shukrani za dhati kwa ndugu, jamaa na Marafiki
mlioshiriki katika kumuuguza mpaka kumhifadhi mama yetu mpendwa
Fortunata Joseph Msoka aliyeitwa na Mungu Jtano 18/09/2013.
Sio rahisi kumshukuru kila mmoja, ila shukrani za pekee ziwaendee
madaktari na wauguzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Temeke,
Mikumi na Rugambwa Dispensary Ukonga, Mamlaka ya Vitambulisho
vya Taifa (NIDA), Wizara ya Maliasili na Utalii - Wakala wa Huduma za
misitu Tanzania.
Daima tutakukumbuka.
“Bwana alitoa na Bwana Ametwaa jina lake
lihimidiwe Daima”
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...