Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha kamati ya Uongozi kinachoundwa na wenyeviti wote wa Kamati za Bunge Ofisini kwake Bungeni Dodoma kujadili shughuli zitakazokuwemo kwenye ratiba ya Mkutano wa 13 wa Bunge unaotarajia kuanza kesho tarehe 29 Oktoba, 2013. Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge.
Home
Unlabelled
SPIKA ANNE MAKINDA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI BUNGENI DODOMA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...