Home
Unlabelled
Taswirazz ya Mwanamama akipanda Lori
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nawapenda sana mama zetu,watafanya lolote kuhakikisha watoto wanakula bila kulalamika,hongera mama!!
ReplyDeleteHii inaonyesha ni jinsi gani jamii zetu zinavyokumbana na changamoto katika kukabili maisha ya kila siku huku viongozi wetu wakiwa wanajigawia maeneo ya machimbo ya madini,gesi ,kuuza wanyama pori nk.
Inabidi tulete maendeleo ya ukweli kwa kuanzia ngazi za chini hadi juu ili kumkomboa mDanganyika.
Tuna kila utajiri kwenye nchi yetu ila wanaonufaika ni viongozi wetu tuliowachagua wenyewe.