Kamera ya Globu ya Jamii ilimnasa mwanamama huyu ambaye jina lake halikuweza fahamika mara moja,akipanda kwenye Lori wakati akitoka kijiji kimoja kwenda kingine Wilayani Karatu,Mkoani Manyara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nawapenda sana mama zetu,watafanya lolote kuhakikisha watoto wanakula bila kulalamika,hongera mama!!
    Hii inaonyesha ni jinsi gani jamii zetu zinavyokumbana na changamoto katika kukabili maisha ya kila siku huku viongozi wetu wakiwa wanajigawia maeneo ya machimbo ya madini,gesi ,kuuza wanyama pori nk.
    Inabidi tulete maendeleo ya ukweli kwa kuanzia ngazi za chini hadi juu ili kumkomboa mDanganyika.
    Tuna kila utajiri kwenye nchi yetu ila wanaonufaika ni viongozi wetu tuliowachagua wenyewe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...