Home
Unlabelled
USIKU MAALUM KWA WANANDOA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Usiku maalum kwa wanandoa. Sasa ticket za SINGLE ni za nini?
ReplyDeleteMdau hapo juu soma tangazo hilo vizuri limeandikwa: Usiku maalumu kwa WANANDOA wasasa na watarajiwa. Hao''watarajiwa'' ndiyo SINGLES, nadhani umeelewa
ReplyDeleteUmesahau kusema ktk kiingilio hicho kuna dinner or lunch ,drinks or bites
ReplyDeleteMdau wa kwanza, mnapokuwa wawili hamuwezi kugandanishwa kwa Gundi.
ReplyDeleteTICKET za SINGLE muhimu kwa kuwa wawili hamuwezi dakika zote mkawa pamoja muda wooote, inawezekana mmoja akawa na dharura labda amesafiri hivyo mmoja anaweza hudhuria akiwa peke yake!
Mdau wa Kwanza inawezekana mlifunga ndoa halafu ikatokea sintofahamu baina yenu, hivyo inawezekana ktk Kipindi ambacho hamjaachana ama kutengana mmoja akahudhuria kwenye Suala hili akiwa Single!
ReplyDelete