Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace Mujuna akiwakaribisha watanzania walioshiriki kwenye michezo mbalimbali wakati wakiadhimisha kumbukumbu  ya kifo cha baba wa Taifa mwalimu JK Nyerere kwenye Viwanja vya barclays jijini Lusaka Zambia
 Kikosi cha Simba ya Lusaka kilichoshiriki mpambano mkali wa mpira wa Miguu na wahasimu wao Yanga wa Lusaka katika maadhimisho ya kifo cha baba wa Taifa Mwl Nyerere kwenye Viwanja vya barclays jijini Lusaka Zambia
 Kikosi cha Yanga cha Lusaka kilichoshiriki mpambano mkali wa mpira wa Miguu na wahasimu wao Simba wa Lusaka katika maadhimisho ya kifo cha baba wa Taifa Mwl Nyerere kwenye Viwanja vya barclays jijini Lusaka Zambia
 Hapa ni mpambano wa kuruka juu wa watanzania wa Kabila la Wamasai waishio Lusaka Zambia katika maadhimisho ya kifo cha baba wa Taifa Mwl JK Nyerere kwenye Viwanja vya Barclays
  Juu na chini ni kina mama walioshiriki mpambano mkali wa kuvuta Kamba katika maadhimisho ya kifo cha baba wa Taifa Mwl Nyerere kwenye Viwanja vya Barclays jijini Lusaka Zambia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...