Urban Pulse Creative Media, Ubalozi wa Tanzania wakishirikiana na Freddy Macha wanakuletea ziara ya Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza alipokutana na wawekezaji jijini London tarehe 21 Octoba 2013.
Mkutano huu ulifanyika katika ukumbi wa Reform Club mtaa wa Pall Mall, London, na kuhusisha wafanyabiashara wenye shughuli za kilimo Tanzania, makampuni makubwa yanayojishughulisha bara Asia, Afrika na Uingereza, mathalan duka maarufu la Sainsburys.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...