Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ni wasafi sana, bali ni wachovu kama sie tu Bongo

    ReplyDelete
  2. ata kama wachovu kama sie bongo wenzetu mji unaeleweka sio kam sie bongo, uchafu uchafu tu

    ReplyDelete
  3. Ankal itabidi urdi na Tekilojia waliyotumia Manispaa huko kuhakikisha Waendesha Bajaj wote ni wasafi hivyo!

    Waendesha Bajaj wetu ni kama Vibarua wa Gereji hwafui makoti yao, girisi hadi utosini!!!

    ReplyDelete
  4. Jamani, tusubiri tu na tusiwe na haraka sana. Maendeleo yanakuja taratibu na sisi tutafika tu kama wenzetu walipofikia. Viongozi wetu wana nia njema ya maendeleo ila tu sisi wananchi wakati mwingine tunakuwa wazembe wa kutunza mazingira na usafi. One day yes

    ReplyDelete
  5. Awesome Mr. Michuzi thank you for sharing. Beautiful city.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...